Vyama vya siasa vya ukombozi vya Kusini mwa Afrika, ambavyo ni pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC), Mozambique Liberation Front (FRELIMO), Popular Movement for the Liberation of Angola (MPLA), South West Africa People’s Organisation (SWAPO), na Zimbabwe African National Union-Patriotic Front (ZANU-PF), kwa pamoja vimeunda Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS). Shule hii ni shule ya kisasa ya Kisiasa yenye rasilimali na vifaa vya kisasa vya kielimu. Shule imepewa jina la Julius Nyerere, Mwenyekiti wa kwanza wa CCM na Rais wa zamani wa Tanzania, kwa heshima ya mchango wake mkubwa kwa vikundi na vyama vya ukombozi wa kitaifa vya Kusini mwa Afrika. Shule ipo Wilayani Kibaha, Mkoa wa Pwani, Tanzania. Ujenzi wa Shule ulianza mwaka wa 2008 na ukakamilika mwezi Februari 2022. Shule ina eneo la takriban hekta 10 na jumla ya eneo la mraba m2 24,600. Shule hiyo inajumuisha jengo kuu, malazi, jengo la kulia chakula na huduma, na jengo la vifaa, ambalo linaweza kuchukua washiriki 200. Kauli mbiu ya Shule hiyo, 'Uongozi wenye Kushirikisha na kuleta Matokeo chanya', inaakisi ahadi yetu ya kukuza mazingira ya kujifunza yenye kuwakilisha na kushirikisha, na juhudi zetu za kulea viongozi wa baadaye ambao watakuwa na athari chanya kwa jamii zao.
"Kujifunza historia kwa usahihi ni kushinda maovu yote ya asili ya ubeberu na ubaguzi wa rangi." - Mwalimu Julius Nyerere.
Give Them the education which will train their heads to refuse the wretchedness of mind and skill their hands to develop the resources of Africa
Africa must revert to what it was before the imperialists divided it. These are artificial divisions which we, in our pan- African concept, will seek to remove.
Our efforts to promote continental integration must place the education of our people at the top of our priorities, as key elements in addressing development challenges.
A silent idea is louder than a spoken words
Education is the most powerful weapon which you can use to change the world
Give Them the education which will train their heads to refuse the wretchedness of mind and skill their hands to develop the resources of Africa
Give Them the education which will train their heads to refuse the wretchedness of mind and skill their hands to develop the resources of Africa